Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Duh! Wazazi wa kizazi kipya mna kazi kweli. 

Yaani wazazi wamejisahau kiasi cha kutotofautisha yupi Mzazi na yupi Mtoto.

Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Zari The Boss Lady wamevunja mitandao leo baada ya kupost picha ya mtoto wao Prince Nillan wakimtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa kwani ametimiza mwaka mmoja sasa tangu atue kwenye sura ya dunia.

Prince Nillan

Wawili hao wamepost picha hio moja japo kwa caption tofauti zenye utata na maneno yasio ya kawaida kutoka kwa mzazi. Mitego Sasa yamtakia kila la kheri Prince Nillan kwenye maisha yake na happy born day!!
Tazama ujumbe wa Diamond kwa mwanae; 

Kisha mama yake Nillan Zari akafuatiliza na ujumbe huu; 

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.