Msanii wa gospel Kenya maarufu kama Bahati Kevin ameachia kazi mpya.

Mkali huyo ambaye amekuwa kwenye game kwa miaka sasa anazidisha kutanua wigo kwani amefanikiwa kushinda matuzo kadhaa huku alipiga collabo na wasanii wa nje ya nchi.

Baada ya kufanya collabo na msanii wa bongo fleva, Rayvanny Wa Wcb Wasafi wawili hao wametengeneza mazingira mazuri ya urafiki kwani wanameana support.

Amepost cover ya ngoma yake mpya Bahati ‘Lala Amka’ kupitia Instagram. Rayvanny na Bahati walifanya collabo yao kwa jina ‘Nikumbushe’.

Hata hivyo Bahati ameshiriki kwenye collabo na wasanii wawili waliopo chnini ya lebo yake ya muziki EMB Records. Kumbe Kumbe’ ft Mr. Seed na ‘Ndogo Ndogo’ ft David Wonder.

Body link hii uskilize ngoma yake mbichi ‘Lala Amka’.

https://youtu.be/rYbaYfJPpcU

#MitegoEA