Mwaka huu mara ‘Simba’ wa Madale amenguruma si haba!

Diamond Platnumz aka Simba anazidi kunguruma kwani hataki mchezo kazini na mara hii ameachia ngoma tatu kwa mpigo.

Platnumz ameachia video ya ‘Sikomi, Niache na Waka Waka’ aliyoshirikiana na msanii wa hip hop America, Rick Ross aka Forever Rich.


Wakali hao wawili wanaipa promotion bonge la mvinyo maarufu kama Luc Belaire (Black Bottle Boys).
#MitegoEA