Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mchekeshaji huyu wa bongo movie amekuwa gumzo kweli mitandaoni.


Idris Sultan alishadaiwa kuwa kwenye penzi nzito na mwigizaji mwenzake Wema Sepetu. Msanii huyo baada ya kushinda tuzo ya Swahili Fashion Week 2017, ameingia kwenye deal na kampuni ya movie za Holy Wood Marekani.

Unaweza kudhani Idris amepagawa kwa kuona hii picha yake akiwa uchi, kumbe ni bonge la dili ya mkwanja mrefu na kampuni ya kutengeneza nguo za ndani za kiume maarufu kama Calvin Klein.

Soma alichopost kwenye Instagram yake; 

Ni wazi kuwa mwaka kesho 2018 atakuwa pia akiigiza kwenye Holy Wood na pia kufanya matangazo ya bidhaa za Calvin Klein.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.