Dah! Balaa hii sasa kwenye muziki wa bongo fleva na dance hall/ ragga ya Uganda.

Wasanii hao wawili wakali wamekujiana sura kwa muda kuhusu nani mbabe zaidi kwenye muziki.

Chameleon na Diamond

Diamond Platnumz amekuwa alipiga dili kali za kimataifa kusogeza bongo fleva kwenye ramani ya dunia kila kikicha. Kufuatila collabo zake kali kama yake na Morgan Heritage, Rick Ross mashabiki wengi wake wanajivunia huku watani wake wakikunja moyo.
Mashabiki wa mkongwe wa muziki Uganda Dokta Jose Chameleons, wamekosa amani kwani wanapinga kuwa ‘Simba’ hajamzidi Chameleon kwenye game la muziki.

Je wewe unadhani nani mkali kati ya Diamond Platnumz na Jose Chameleone?

Diamond
Chameleon

#MitegoEA