Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Dah! Wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Ferao!

Mwigizaji wa bongo movie amezidisha mbwembwe kwenye mitandao ya kijamii.

Idriss Sultan baada ya kutwaa tuzo ya Swahili Fashion Cultural Week 2017, basi ni kama kapagawa. Ametupia picha nyingine ya uchi wake kwenye Twitter yake huku msanii Ommy Dimpoz akiishia kumtania.
Mwigizaji huyo alipata dili za kufanya filamu kwenye Holy Wood Marekani na pia kufanya matangazo ya bidhaa ya nguo za ndani za kiume yaani ‘Boxers’ maarufu kama Calvin Klein. 

Idriss amekuwa Uganda kwenye tuzo za ASFAS (Abryanz Style and Fashion Awards 2017) ambapo ametwaa tuzo nyingine.

Ommy Dimpoz  amepost ujumbe huu juu ya picha yake Idris akiwa uchi.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.