Leo tarehe 9 Disemba imekuwa siku ya kuzaliwa ya mwanzilishi wa hii blog ya Mitego Sasa, Mkazivae Unit.

Hata hivyo imekuwa siku kuu kwa wananchi wa Tanzania kusherehekea miaka 56 tangu wamejinyakulia Uhuru kutoka kwa mabepari. Raid Pombe Magufuli ameachia huru Babu Seya kujiunga uraiani baada ya kuwa chini ya kifungo chake jela.

Isitoshe kumetokea bifu ambalo linaonekana kuwa linaendela kati ya mwanamuziki msanii mkongwe wa nyimbo za kiasili Tanzania, Mrisho Mpoto na mwenzake msanii mbunge Afande Sele. 

Wawili hao wanaonekana kutoelewana mpaka kwenye mitandao ya kijamii ambapo Mpoto amemwaga mtama na Mitego  Sasa imekusogezea uhondo huo hapa chini soma hali halisi kati yao;

#MitegoEA