Mitego Sasa imekusogezea washindi mara mbili wa mashindano ya sanaa ya vyuo na taasisi mbalimbali nchini.

Power Qrew nikundi la waigizaji hodari kutoka taasisi ya mawasiliao ya KIMC South B Nairobi ambao wamejikita na kuwekeza nguvu zao kwenye masuala ya kuhadithia hali halisi ya mambo kwenye jamii pana ya taifa la Kenya. 

Kundi hilo limefanikiwa kutwaa tuzo mbili kwenye maigizo ya muziki ya kitaifa (Drama Festivals) katika ngazi ya Kitaifa (Nationals). Wameshinda mwaka 2016 na 2017.

Hizi picha zao kwenye ubora wao. Tazama.

#MitegoEA