Kazi mpya kutoka kwa mkali wa ‘Jigi Jigi’ imedondoka Leo.

Msanii huyo ambaye amechukua tuzo mbili za msanii mwenye video kali na msanii bora mwenye ngoma kali ‘Jigi Jigi’ kwenye tuzo za Pulse Music Video Awards, amefanya ya kwake ili kukupa burudani ya mwezi disemba na Krismas.

Willy Paul aka Pozee ameachia wimbo huo leo ambao unaitwa ‘Tempted’.

Bofya hii link ili kupakua na kusikiliza ngoma hio mpya; 
https://youtu.be/lVn2ddE3xJc
#MitegoEA