Dah! Wasanii wengi bongo wamekinukisha aisee.

Wasanii wengi kutoka Wcb Wasafi wamezidi kuchukua headlines kwenye news kila kukicha.

Mtindo aliyochukua Msanii Diamond Platnumz kumtongoza mwigizaji Wema Sepetu na kumsaidia kutoka kimuziki kisha baadae kumtema na kumwendea Zari The Boss Lady, ndio mtindo msanii Harmonize na Rayvanny wamechukua.

Harmonize juzi ameonekana kutoka kimapenzi na mrembo wa Italy, Sarah.

Rayvanny na mzungu wake

Rayvanny  naye taarifa zinazagaa kuwa baada ya kuishia Marekani kwa ajili ya kuuza muziki wake, ameishia kuna mrembo mzungu na hio inafuatia taarifa za yeye kutengana na bebi mama wake Fahyma ambaye ni Mzazi mwenzake ambapo wana mtoto mmoja mvulana Jaydan Vanny.

Soma alichopost Rayvanny na wenzake kumshauri..


Je ni hatua njema ya wasanii kutoka kimapenzi na wanawake kisha kuwaacha kisa kupata wazungu?

#MitegoEA