Dah! Kweli mwanadamu hawezekani katu.

Baada ya kuona baraka za Mwenyezi Mungu hazishuki kwa haraka na kumfikia kwa wingi, mwenzetu ameamua kuziendea.

Mwanaume huyu amejenga kijumba chake anga za juu ili kuziendea neema za Mungu kwa wepesi.

Mvua ikinyesha inamfikia wa kwanza wakati ipo freshi. Upepo mwana unampiga vizuri na kumletea hali njema na mazingira mapya. Je Jua likiwaka kwa ukali wake? Si ataungua au awake kama makaa?
#MitegoEA