Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kwenye mishe nyingi za msimu huu wa kujirusha na kuchacharika na ndugu na jamaa, hili litakumbukwa.

Mrembo na mzazi mwenzake msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, atakuwa Live jiji la Kampala Uganda kwenye bonge la show yake ya kila mwaka maarufu kama Zari All White Party.

Zari Hassan  aka The Boss Lady amekuwa mbioni kutangaza kuhusu Party hio ambayo itafanyika usiku wa leo Alhamisi na ambapo watu mashuhuri duniani wamealikwa.

Zari

Zari ambaye ndiye Mzazi mwenzake Diamond aka Simba, ametua jiji hilo kwa Sikh kadhaa akiwa kwenye harakati za mwisho na ambapo pia amefanyia hisani watoto yatima wa nchini Uganda. 

Zari na watoto yatima

Ametupia picha hii yenye maandishi haya kwenye Instagram yake. Soma..

Hata hivyo inadaiwa kuwa mrembo mwanamitindo ambaye alizaa na Diamond amepania kufanya show kubwa kwenye club au ukumbi jirani na atakapo kuwa na Party Zari ili kumpa upinzani.
Tazama picha za Zari.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.