Neno moja linaweza kubadilisha mtazamo wa maisha yako.

Mawaidha ya msingi ni kitu bora ambacho huweza kumpa motisha mtu yeyote ambaye anataka mafanikio.

Diamond

Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz aka Simba ametoa ushauri kwa wasanii na mtu yeyote anayepania kuona mafanikio ya kazi zake. Kwanza ametaja kudhalilishwa, kuchekwa, kutoheshimika kama changamoto kubwa.

Soma ujumbe wake aliopost kwa Instagram yake.
#MitegoEA