Ah! Majanga unapoona kuku akila mahindi baaae jioni analiwa na sima au kwa wali.

Msimu huu wa sikukuu kuna shamrashamra kibao za kuonyesha upendao na ushikamano kwa familia mbalimbali na wana kibao.

Mitandaoni kuna mengi yanayotupiwa husasan kwa utumaji picha. 

Mitego Sasa imekumbana na picha ya wenyewe ambayo inachekesha kuona mbuzi akila chapati badala ya yeye kuliwa na chapati.

Tazama picha hio ya siku;

#MitegoEA