Dah! This is so amazing guys. Yaani watu ni wabunifu kiasi kikubwa hivi!

Angalia hawa jamaa wawili ametulia ndani ya karai na kupiga pozi utadhani wapo Diani Beach au Nyali beach wakipunga upepo.

Kama wafanyavyo watu wakiwa maendeo ya ufuoni mwa bahari wakila life na adabu..unatashangaa ujanja huo wa wazungu na watalii pia waafrika wanautambua na wanautumia majumbani kwa raha zao! Dah!!
#MitegoEA

Leave a Coment