Dah! Msimu huu wa shamrashamra za hapa na pale za Krismas ni muda mwafaka kukupa shukrani.

Kama vipi umekuwa mwaka mwema kwetu Team Mitego Sasa na tunawatakia kheri njema wafuasi wetu wore popote walipo sikukuu njema.

Upendo wenu ni muhimu kwa ufanisi wa kazi zetu kusambaza links zetu kote kwenye mitandao ya kijamii bila kujali gharama, tunasema hongera na ahsanteni mno. 

Wote ambao wameungana nasi mwaka mzima huo tunawapa heko na wanaopania kujiunga nasi Mitego Sasa ndio sehemu sahihi kwako ili kufanikisha ndoto na malengo yako ya maishani. Kama Msanii, Dj, mwigizaji, mchoraji, mwanahabari au mtu yeyote mwenye kipaji cha aina yake,karibu sana tusonge mbele pamoja maana kauli mbiu yetu ni ‘Muda Wetu Sasa’.
Tazama hii video;

Naowaombeni tuzidishe upendo, Amani na ushikamano kazini na kusambaza kazi za blog yetu na punde tunaleta mambo mapya, kaa mkao wa kula.
Happy Chrismas and Happy Prosperous New Year 2018. Share Blog Links Please!!

#MitegoEA

Leave a Coment