Maisha na muziki ni maisha ya kusaka riziki pia.

Wasanii wengi wamejitokeza kupambana na hali halisi huku wakijimudu kuonyesha kipaji na uwezo wao.

GoodMan

Mitego  Sasa imefanikiwa kutega kijana mmoja machachari ambaye anajitahidi kufikia mashabiki wake kote kupitia muziki wake mzuri licha ya changamoto kali  ambazo amezisimulia GoodMan; 

“All my life growing up I knew that I would be a football player born in a family of footballers  I  was pasionate about music  and it is until when I broke my leg while playing in form four when i knew it was over

      During that period I used cratches for a period of 4-5 months   I lost hope. Knowing my dreams were doomed  it was the same year after doing my form four on my final day  my final paper  on my arrival  all I found was that dad haddied and I was not told earlier and on this same day we were taking him home it was haed tough  hurting confusion i cant even explain

    On the day of burial when I was given  the microphone all I could do was to sing for him and realised God had given me another talent and a chance again.” kasimulia msanii Good Man.

Msanii huyo chipukizi amekuwa kwenye media tofauti kuuza muziki wake ili kuzidisha kipaji kama vile Y254, Meru TV,Kiss Tv, The Arena na nyinginezo.

Tazama video yake mpya hapa chini;

Good Man – Nyon Saitan (Official WAZITO FILMS https://youtu.be/HNaz_dQuzao

#MitegoEA

Leave a Coment