Ni mkasa wa mahusiano ya mapenzi ya mastaa wa muziki.

Ray na Fahy

Msanii Rayvanny baada ya kutokea hali ya ugomvi kati yake na mzazi mwenzake Fahyma, mkali huyo wa ‘Siri’ amepost kuhusu kumsamehe mwanamke mpenzi wake huyo ili wajenge familia.

Hata hivyo msanii huyo ameacha wengi vinywa wazi naadem kuwa na matumaini alipoulizwa kama bado anatafuta mchumba mwengine kwenye interview ya 10 Over 10, Citizen TV Ijumaa usiku, na kuweka wazi kuwa nafasi ipo.
“Nampenda sana mwanamke wangu lakini bado kuna nafasi naweza kudate mwengine kwani nina moyo wa mapenzi” akasema Rayvanny.

Ameoa mrembo huyo ambaye wana mtoto wa kiume kwa jina Jaydan Vanny.

#MitegoEA

Leave a Coment