Kabla mwaka huu 2017 hujakamilika na kuvuka mwaka mpya, nakupa kumbukumbu kiasi.

Hapa nakusogezea picha kali za msanii wa bongo fleva ambaye anajitahidi kusogeza game ya muziki wa Afrika Mashariki duniani.

Diamond Platnumz aka Simba ni baba wa watoto wawili, Tiffah na Nillan. Ndiye mpenzi wake mwanamitindo mfanyabiashara staa Zarina Hassan aka The Boss Lady.

Hizi hapa chini ni baadhi ya picha zake za mwaka huu wa 2017 pamoja na familia yake.

Ahsanteni kwa ushirikano wenu kwetu mashabiki wetu, Mitego Sasa inawatakia kheri njema ya mwaka mpya 2018!! Amani teleeee..

#MitegoEA

Leave a Coment