Dah! Muziki nchini Kenya ungali kukabiliwa na changamoto ikiwa huu ndio mtindo.

Wasanii, mapromota, Madj na watangazaji wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuukuza na kusambaza muziki wa wasanii Kenya ili kufika soko kubwa la sanaa duniani ila haya yamejiri kutoka kwa Dj mmoja mkubwa Blue Print huko Kisumu Kenya.

Dj huyo amekashifiwa kwa kutuma picha ya utupu wake kwenye mtandao wa WhatsApp kwenye kundi moja. Huo kama ndio msaas kwa wasanii basi Mitego Sasa itakuwa inawapiga darubini wahuni na wasio makinikia sanaa ya Kenya kusonga mbele.

Tazama; 

Sambaza links za blog yetu ili kutupa support yako. Ahsante!!

#Mitego EA

Leave a Coment