Dah!! Balaa hii tena kutoka bongo Tanzania habari za staa wa muziki kuzingua.

Malkia wa muziki wa bongo fleva azidi kutupiwa mawe ya lawama baada ya kutoweka na hela za promoter.

Ray C ambaye kwenye msimu wa Krismas alipata bonge la shavu kutumbuiza kwenye show mbalimbali Pwani ya Kenya kuanzia mkesha wa sikukuu 25th hadi mwishoni mwa mwaka, alitoweka baada ya kulipwa hela ya show na kutolipa promoter aliyemleta kutoka bongo, Dickson mwenye Ring Ring Entertainment.

Mitego Sasa imepiga gumzo na promoter huyo kutoka Mombasa na kufunguka haya;

Dickson ameongeza kusema yafuatayo;

Ni promoter wa muziki Afrika Mashariki.

#Mitego EA

Leave a Coment