Dah!! Wasanii sanaa imekuwa moto kama pasi kwani wengine wamefikia hatua ya kuungua.

Hivi bado wasanii wanazidi kutafuta kiki kwa mambo ya kawaida yasio na msingi?

Willy Pozee

Willy Paul ambaye ni msanii wa gospel Kenya ametumia mitandaoni video yake kwenye gari akionekana kumponda msanii wa Hip Hop, kutokea Kibera Octopizzo.
Kwenye video hio, Pozee ametaja kuwa vitu vya Kibera ni feki na Chris Brown hapaswi kutembea mtaa huo kama ana akili timamu.

Tazama video hii hapa;

#MitegoEA

Leave a Coment