JUST FOR YOU :- KARPENTA FT TATTU MILLES (lyrics)

INTRO:

Kaps in the house(ooooh nanana)

Jina kubwa (mmmmmmh)

Tattu miles(naninani na ninaaa)

Combination mbaya(for you)

Mapenzi(Just for you)

Hahaha (for you)

eeeaaaa

You youuuuuu 

VERSE ONE (KARPENTA)
Na stick na mapenzi kama mama na vitamba

Bila wewe nikama ni kama nganya bila ngataa

High kama shada namada nama nakada

Kwako umenimada kama politics na maina kamanda

Am happy kama ka dem kuchange weave to wig na wiki

Ama witi kuhama getto kuishi mwiki

Na stick na wee kama sukuma wiki 

Kwako nasukuma wiki 

Wao wakisleki tuna wai hii kitu kama kidero kwa waititu

Natema mbaya kushinda Tom Mboya

Wewe ndio hamisi

Naji trust kushinda mshamba na kamisi

Nastick na getto kama mbussi

Upuzi na monako na kwishi(hehe)

Nakucolect kama pastor na kesha

Mambelina zao nikunyesha

Wazito zaoni esuna nesa kase 

Mapenzi ya uzungu kama governor kazungu

Juu hii kitu si bahati 

Kazaa tie kwa shatii

Funikia sehemu nyeti

Kwenye nia kuna njia

Be happy…………. 

Hata mlami hufurahia kivuli nyeusi

You are my tausi (mmmmh)

Sihitaji tangawizi 

With you na piga mbizi nakutrust(uuu yeahhhhh)

Kama wahumini na kasisi

Nakuown kama mkisi na ndizi (mmmh)

 Jiieee


BRIDGE

Oooh nooo(mmmmhhhh)

Jadidadidaaaaa

Eshunya enema aduari jaberee  X3 

Eshunyaaaaaaa

Enemaaaaaaa

Eeeehiiiii

From a distance I can here you calling 

My eyes are closed sioni

Nguvu ma baby  

We mpenzi na kuenzi vishenzi

Is it a fault kusema nimechizi kwako 

Kam uwe wangu na mimi niwe wako 

nikiku hata nitaumia

and when you are far am missing you

VERSE TWO(KARPENTA)
ok you are my mama

viatu bahama 

kwako siwezi hama

na appear kwako hata na panjama

pia jalango alitoka from jaba akamaha tu hummer

so from getto to mtwapa

from dada to kaka

from huzuni tu vicheko

from msoto tunawaii mikopo 

kwangu weee ndio sonko

nakuvalue kama roho

nakuexpose kama kisogo 

ama coast na Hassan joho

na nikicheew wanani seu kama Charles njonjo

nakuchill kama shonde

kwako na stahimili

hasaa nikwambie

so kama mnduli na tulizzz 

tulilie lilian muli 

 iiiiiiiieee

BRIDGE 

Eshunya enema aduari jaberee  X3

Mmmmhhhh

Mpenzi ni weee

(Instrumental)

mmmh

Mpenzi kwako sitoki

Nishaa zama its too late 

Kwako siondoki

Kama Romeo na Juliet

Nishaa penda kila kitu juu yako

We ndio dem unanifanya na feel fiti nikiwa n

Mpenzi kwako sitoki 

Mina wewe hatuondoki 

Enemmaaa

#MitegoEA

Leave a Coment