Balaa hii yaani picha ya mtoto yaweza kuzua zogo kwenye mtandao?

Msanii mtajika wa muziki wa injili Kenya ametupiana cheche za matusi wakati akimjibu shabiki wake.

Guardian Angel

Guardian Angel amekuwa amepost picha ya mtoto wa kike kwenye profile picture ya WhatsApp take ambapo ulizwa kama ni mtoto wake na hapo akaanza kutukana shabiki.
Mitego  Sasa imekusogezea udaku huo hapa chini;

Guardian Angel aka Gman amekuwa akitukanana shabiki kwa jina Abwao.

#MitegoEA

1 COMMENT

Leave a Coment