Dah! Hapa juzi kati kumetokea drama kwenye mtandao baada ya mtangazaji kutoa ushauri kwa kina dada.


Betty Kyallo ambaye ni presenter wa runinga ya KTN News Kenya ameshambuliwa vikali baada ya kuanika ushauri wa mahusiano ya kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume ambaye ameoa.

Kupitia kwenywe Facebook page yake alipost kama ifuatavyo;

Nao mashabiki hawakumwacha salama kwani wametupia comments hizi;

#MitegoEA

Leave a Coment