Kutoka Rwanda ni msanii chipukizi anayezidi kupambana na hali yake kufikia kilele.

The Winner aka King, amechipukia kwa kasi kwenye game ya muziki na sasa mbali na muziki wake ameamua kutangaza uhusiano wake wa mapenzi na mrembo wake.
Msanii huyo ameiambia Mitego  Sasa kuwa baada ya kuwa kwenye mapenzi na mrembo huyo kwa jina Rosinne Tracey, amempenda mno na pia wamefanikiwa kufungua kampuni yao ya muziki na mafunzo ya Kiingereza pamoja.

Tracey na King Winner

Tracey atakuwa msimamizi wa idara ya Marketing ya bidhaa na muziki kwa mujbu wa King Winner.

#MitegoEA

Leave a Coment