Dunia inazidi kuzunguka sehemu mbovu zikisogezwa pande yako.

Magari ya uchukuzi wa umma yaani PSV Buses yamezidi kuingiliwa na uhuni kila kukicha. 

Usimamizi wa kampuni ya mabasi ya umma ya Kenya Bus wametangaza uhuni wa kutumia sindano yenye kemikali ya sumu inayofichwa kwenye siti au kiti cha abiria.

Sindano hio inamdunga mtu na kwa haraka inatia sumu hio mwilini baada ya kuikalia na hapo mtu anapoteza fahamu na kuzirai.

Nao wahuni wenye nia mbaya wanpata fursa ya kukutendea unyama na kukupora haraka.

Basi abiria wanashauriwa kuwa chonjo na makini zaidi kabla ya kukalia siti ya basi za umma.

#MitegoEA

Leave a Coment