Wasanii wa kizazi kipya wengine wapunguze uhuni.

Msanii wa bongo fleva amemfanyia udhia mfanyabiashara mmoja mama kutoka bongo Tanzania unyama.

Shilole aka Shishi Beiby anadaiwa kutoweka na ndala au viatu vya mama huyo alipomuazima apande stage kutumbuiza kutokana na uzito wa high heels alizokuwa amevaa msanii huyo na kumshinda kuperform vyema. Walikutana wawili Dodoma kwenye shoo wakati mama huyo Mkenya kwenye picha akiwa kwenye biashara zake za kuuza bidhaa huko Tz.

Mama huyo kwa sasa anasemekana kumshtukia Shilole akiwa ametoweka jukwaani na ndala hizo.

Hizi hapa picha zao wawili. Shilole amevaa ndala alizotoroka nazo.

#MitegoEA

Leave a Coment