Dah! Maisha ya usanii ni balaa kwani baadhi ya wasanii uishi kwa kujishuku.

Kupitia show ya runinga moja nchini Kenya, wasanii wawili wa muziki aina ya bongo fleva walizua taharuki kwenye interview wakati walipoonekana kung’ang’ania mtangazaji wa kike, Joey Muthengi live.

Shetta

Shetta aka Baba Kaila ambaye ni msanii wa bongo Tanzania amekuwa Kenya pamoja na msanii Otile Brown kutokea Mombasa kuzindua collabo yao mpya, “Tamu Sana”.

Otile

Wakiwa kwenye show Shetta aliamua kumpigia goti mrembo huyo host wa  10/10 kumrai wawe wapenzi kwani alijitambulisha kwamba hana mchumba na anasaka kutoka Kenya.

Joey

Hata hivyo Joey alipiga chini rai yake Shetta huku akimsingizia Otile Brown kuwa kizuizi kikuu kwa ombi lake.
Wasanii hao kwa sasa wanafanya tour ya kazi yao hio mpya ambayo video ilifanyika South Africa na. Justin Campos. 

#MitegoEA

Leave a Coment