Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Duh! Maneno yangelikuwa sumu, wengi wengekufa ila kwa kuwa ni maneno tu yana hukumu.

Leo kwenye pita pita za mitandaoni Mitego Sasa imekumbana na vita vya maneno kwenye group moja la WhatsApp wakipigana vijembe kisa majina ya vyuo wanakosomea elimu ya juu.

Vibonzo

Baadhi yao ni wanazuoni wa kozi tofauti kwenye chuo cha Masai Mara University na University of Nairobi (UoN) ambapo unaweza kudhani wemetoa meno kisa malumbano ya maneno.
Kila pande ina Sofia na kujigamba ubora wa elimu ya chuo chao kama unavyoona hapa chini kwenye picha za udaku. Tazama;

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.