Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Dah! Habari za kichizi zashuka mitaani leo kuhusu mkali wa ‘Hasara Roho’.

http://www.instagram.com/mitego.co.ke

Msanii huyo ambaye amekita mizizi Kwenye muziki wa hip hop rap bongo Tanzania, amesemekana kupagawa kisa madawa ya kulevya.

Darassa ambaye anavuma na kibao ‘Watch Me’ akimshirikisha rapper mwenzake Godzilla amekuwa sinema kwa watu kwani habari ambazo zinafikia Mitego Sasa ni kubwa hajaonana na producer wake Mr. T Touch kwa muda wa wiki mbili kitu ambacho sio kawaida yake na wala hafiki studioni.

Darasa

Darassa ni miongoni mwa wasanii wenye bidii kubwa studioni kwani ndiye msanii pekee ambaye anashikilia rekodi ya kurekodi nyimbo nyingi kwa muda mfupi kwa mujibu wa Mr. T Touch.
Producer pia amedokezea East Africa Radio kuwa mara ya mwisho amekuwa akichat na Darassa Kwenye WhatsApp na hawajaongea kwa kumpigia simu.

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.