Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Muziki ni kama madini kwenye chimbo au labda kinywaji mfano soda kwenye chupa.

Wengi wameufanya kwa miaka kadhaa na kuvuna matunda yake ila wengine ndio mwanzo wanatia guu Kwenye hio tasnia.

Baada ya ya msanii wa gospel Kenya kufanya vizuri kupitia track yake matata ‘Yes I Do’, amekuwa naafanikio kabambe kwenye muziki.

http://www.instagram.com/mitego.co.ke

Willy Paul, aliachia ngoma hio collabo pamoja na mrembo mkali wa reggae kutoka Kingston Jamaica, Alaine.

Hata hivyo msanii mmoja chipukizi ambaye amekuja vizuri kwenye hili game, ameachia ngoma yenye jina ‘Yes I Do’ ambayo inazungumzia masuala ya mapenzi ya kweli kwa mrembo ila imekuwa tatizo Kwenye media kwani swali ni Moja tu, ‘Mbona ni kama ya Willy Pozee’?

Dj Zilla

DjZilla ambaye ndiye mwenye ngoma hio mpya, amefutwa na kashfa za kulitumia jina sawa na la msanii kubwa rapper wa Tanzania, Godzilla.
Kwenye mazungumzo na DjZilla amesema kuwa hilo ni jina ambalo alitoka nalo shuleni kwani wenzake walimtania kwa kumwita Zilla na kwa kuwa alipenda kazi ya Deejaying, akaishia kuambatanisha majina yote mawili kwa maana ya Dj Zilla.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.