Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Dah! Wadau wa muziki mpo wapi kwani hili nalo kubwa.

http://www.instagram.com/mitego.co.ke

Kila idara ya maisha hapakosi ushindani wa aina yoyote ile kutokana na msukumo wa kazi husika, wadau lakini pia mashabiki.

Mitego Sasa imedakua mitandaoni na kufumbua kuwa kwenye facebook pages za wasanii wa Kenya, kumbe naye Octopizzo ni kiboko yao.

Octopizzo

Octopizzo mkali wa ‘Red Number Plate’ ngoma yake mpya, inaonekana amewapiga chini wasanii maarufu mno kwenye hili game kwa wafuasi wengi zaidi.

Octopizzo amewapiku Nyashinski na mrembo msanii Pizzo Dizzo miongoni mwa wengine wengi wakubwa.

Pizzo Dizzo

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply