Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Habari za mitaani na mitandaoni zimekwisha fika Mitego Sasa.

Kutokana na ukweli usiofichika kuhusu tasnia ya muziki Kenya sasa kimenuka.

www.instagram.com/mitego.co.ke

Ukweli ni kuwa hakuna kirefu kisicho na mwisho na sasa ni wazi kuwa urafiki wa wasanii hawa wawili umevunjika baada ya kupigana makumbo kwenye party.

Timmy na Otile wakiwa kwenye amani kabla ya vita.

Otile Brown aka Shivoo amezipiga na mwenzake Timmy T Dat aka Kasabun kwa kinachodaiwa ni kutoelewana wakati wakiwa kwenye party ya msanii wa kike wa bongo fleva Tanzania iliyofanyika hapa Nairobi usiku wa kuamkia Jumapili.

Vanessa Mdee aka Vee Money alikuwa ameandaa party hio ambapo analenga kutambulisha ujio wa album yake ya muziki mpya kwa jina ‘Money Monday’.

‘Mafahali’ hao wawili walilimana wakati msanii Otile alipomwacha Timmy na kutoka kupokea simu. Aliporudi ndani alimwita Timmy na hapo ubabe ukaanza kwenye car parking lot wakatifuana kuonyesha umati kati yao nani ‘Wembe’ hadi pale CMB Prezzo ‘Hatutaki za Ovyo’ alipoingilia na kutaka na kuwatenganisha ila aliishia kumwita mtangazaji wa radio Shaffie Weru kuwatenganisha. Otile alikuwa amekwisha post huu ujumbe kabla ya zogo hilo.

Hata hivyo Timmy aka ‘Nje’ ameishia kupost ujumbe huu baada ya kumwambia Otile kuwa hamwogopi na kama anajua kwa nyumba yake ajilete mwenyewe.

Kwenye party pia alikuwa bongo RnB artist, Jux Juma.

http://www.fb.com/mitegosasa

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply