Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kutoka usafini ni kazi mbichi ambayo kwa sasa imeleta ladha mpya kwenye chart za muziki.

Baada ya mkali huyo wa ‘Utatulia’ kuachia ‘Mzingaobwe’ sasa amelipuka na ‘Tattoo’.

Lava Lava chini ya usimamizi wa Wcb Wasafi amejitahidi kuonyesha uwezo na kipaji chake kwa muda mfupi kwenye hili game.

Ameachia single hio ambayo analalamika kuhusu binti aliyekuwa naye kwenye mapenzi kisha wakaachana na kwa sasa anakumbuka Tattoo yake aliyojichora kwenye mwili wake.

Pata nafasi nawe uiskilize kazi hio ya mikono yake producer Laizer Classic.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply