Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Taarifa za wasanii wawili wa Kenya kupigana kwenye party ya Vanessa Mdee zimezagaa na sasa ni zamu ya watu kutoa maoni.

Otile na Timmy waliachia collabo kwa jina ‘Wembe’ ambayo ilishia kuwa na kashfa kuwa waliiba ngoma ya wasanii wachanga ‘Wenge’ ya msanii Spizzo Cpy na Ndannah.

Hata hivyo Mitego Sasa imepiga gumzo na Spizzo na kufunguka wazi kuwa ‘Wembe’ imeishia kuwa Vijembe kwani wasanii hao wawili hawaelewani kwa sasa baada ya kupigana.

Unajua huo ni ufala tu coz wanatafuta kiki mjini tu hakuna jipya. Wacha wauwane kwani waliba ngoma yetu ‘Wenge’ na wakienda interviews mara wanasema ni ya Otile mara ni ya Timmy” amefunguka Spizzo.

Ameongezea kuwa wiki ijayo anaachia ngoma yake mpya mashabiki wakae mkao wa taiyatu.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply