Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Ni msanii wa rap mkali ambaye uwezo wake kupanga mistari hakuna wa kumuiga.

Rankaddah aka Ula Mukamba msanii kutoka eneo la Ukambani, Machakosi anazidi kutanua wigo na kuiwakilisha ‘Macha’ kwenye soko la muziki kwenye dunia. Huku akiwa ameachia nyimbo kibao zenye ladha tele kama vile ‘Tukimalisia, Tingika’ na nyinginezo, ameachia mpya ‘My Type’.

Kazi hio mpya ipo chini ya uwezo wake producer Magix Enga ndani ya Pacho Entertainment.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply