Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kutoka bongo Tanzania ni brand new music kutoka kwa wadada wawili wanamitindo wakali.

Hawa ni wasanii ambao wameingia kwenye game la muziki kiutani utani kutokana na shughuli za awali walizotambulika nazo.

Gigy Money na Lulu Diva ni wanamitindo wakubwa na pia video vixen wanaopamba video za wasanii ila kwa sasa wamejitosa kwenye muziki na kila mmoja ni msanii bongo fleva kivyake.

Gigy Money

Gigy ameachia ngoma mpya inayotikisa kwenye play list ya media nyingi kwani inashika chart sana. ‘Miminandio ujio wake mpya.

Lulu Diva

Lulu Diva ameachia nyimbo kadhaa ambazo zimefanya vizuri na kukubalika na wapenzi wa muziki na kwa sasa ameachia mpya ‘Amezoea‘.

#MitegoE.A

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply