Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kipaji ni sawa na chimbo la madini kwani kinaweka wengi mjini licha ya ugumu wa hali ya maisha.

Wengi ukiwaskia watakuambia kuwa alizaliwa wakiwa wasanii au utaskia nimekulia kwenye familia ya wasanii.

Hii hapa habari tofauti kutoka kwa ‘dogommoja anayechipukia kwa kasi.

Rayan Boy ndio gumzo mjini kutokana na kipaji chake za muziki na bidii ya kusaka riziki.

Msanii huyo mchanga amepiga gumzo na Mkazivae Unit wa Mitego Sasa, na kufunguka kuhusu sanaa yake;

“Kwanza kabsa nashukuru mwenyezi mungu na jina langu la usanii naitwa Rayan boy na hilo jina nilipenda sana kama mie bado mdogo sana ingawa kipaji changu nilitambua nikiwa na umri wa miaka tisa na kuaanza mziki nilianza tarehe 18/12/2017” amesema Rayan.

Kama msanii Ali Kiba mkali wa bongo fleva ayegundua kipaji chake ndani ya siku saba baada ya kuzaliwa basi na Rayan ni mfano mzuri wa staa mchanga.

Pata kuskiliza ngoma yake kwa jina ‘Majuto’ aliyorekodia ndani ya Oxygen records.

Link: https://youtu.be/pEivkjnKOhA

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply