Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Msanii wa kike ambaye anatisha sana kwa sasa baada ya kuachia kazi yake mpya amepata kashfa hii.

Noti Flow ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa msanii Collonel Mstafa kabla ya kuskika tetezi kuwa wameachana kutokana na kuwa Mustaffa hakuwa mwaminifu kisha baadae akaonekana kwenye picha na mkali msanii wa rap mkongwe kwenye game, CMB Prezzo.

Noti Flow amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya yeye kuachia wimbo wake mpya ‘100 Barz’. Kuna tetezi kuwa kuna mmojawapo Dj wa Muziki Kenya amemdhalilisha kwa kusema kuwa mrembo huyo hata akimvulia nguo zote hawezi mpandishia hamu ya kufanya ngono naye kamwe.

Labda ni namna ya kujitafutia umaarufu kwa majina ya wenyewe au huenda mrembo huyo msanii hana mwonekano ‘Shepu’ la kutamanisha mwanaume?

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply