Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Dah wasanii wa kizazi kipya wana kazi kubwa mashallah!

Imetokea story kubwa mitaani kuwa huyu msanii mkali wa Rnb na ngoma za mapenzi amekupiga polisi ngumi.

Ni msanii anayeinukia kwenye hili game ambaye ameachia ngoma kali kama vile ‘I wanna Be’ na nyinginezo.

Dennis Amboka aka Vinnho Music mbali na kuwa msanii ni fundi mkali wa mambo ya mitandao yaani IT ambaye anatengeneza sites bora nchini.

Mitego Sasa imepiga gumzo naye kuhusu kisa cha kukamatwa na polisi juzi na kuwekwa rumande katika kituo kikuu cha polisi ‘Central Police’ weekend iliyopita.

” Niilikuwa narecodi mziki kwa phone nikicross bara bara, karau alikuwa amvaa raia akakuja kama amenishika na mkono ulikuwa na simu kutoka nyuma, nikampunch nikihdani ni mporaji wa simu….. kumbe balaa

Akatoa ID na kuniwekea pingu…

Wenzake wawili wakatokea” akamaliza hivyo Vinnho.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply