Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mitego Sasa inakusogezea baadhi ya picha za wasanii watakaokuwa featured kwenye Kenya Dreams Awards 2018 tuzo zitakazo tolewa mwezi August.

Kenya Dreams Awards ni tuzo kubwa na ambazo dhamira kubwa ni kusaidia kuibua vipaji vipya kwenye tasnia ya muziki barani Afrika Mashariki na kati.

Mwaka huu tuzo hizo zitaendeshwa ndani ya blog hii (Mitego Sasa) na pia zitahusisha bonge la road show kuanzia Western Kenya hadi Nairobi county kisha nomination zifanyike baadae tuzo kutolewa gala.

Tazama baadhi ya hizo picha;

#

MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply