Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

It’s another one kubwa zaidi kutoka kwa mwanamuziki mmoja matata.

Je unaupenda muziki wa kimapenzi wa RnB ambao ukiuskiliza unachangamka? Basi usikose kupakua ngoma hii mpya.

Young Wallet msanii mchanga wa RnB ameachia dude moto kwa jina ‘Dialing’ ambao umeshika mitaani.

Msanii huyo akipiga story na Mkazivae wa Mitego Sasa amesema haya kuhusu wimbo wake mpya;

“I’m that dude so passionate about what people like feeding into theirs ears and that’s music. This is why Young Wallet brings it all down to music fans just like they wanna listen. Music is all I keep in my wallet. Music is all I eat. Music is all we love.”

Pakua ngoma hio kupitia hii link hapa chini;

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply