Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kenya Dreams Awards 2018 zimeanza kwa kishindo na sasa ni hatua ya uteuzi.

Tuzo hizo zitakazotolewa mwezi August, zitaanza na road show babkubwa kote nchini kuanzia tarehe 24/2/2018 maeneo ya Western Kenya na kuishia Nairobi.

Baadhi ya wasanii wakomavu kwenye game wameshateuliwa kutoka Afrika Mashariki na Kati na huyu hapa mkali wa bongo fleva malkia Ray C amezungumzia furaha yake kuteuliwa kuwania hizo tuzo.

CEO wa tuzo hizo bwana Zeddy amezungumza na Ray C walipokuwa studioni Main Switch kwenye Night session ya kurekodi muziki collabo yake na Papa Dennis.

“Kenya Dreams Award is big and better, today I was privilege to have a meeting with one of our nominee Ray C from Tz and she is humbled to have been nominated, anasema anangojea tu tours and gala to in order to start requesting her fans to vote for her. Regards to you all from her.” afunguka Zeddy CEO.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply