Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Dah! Kaka Sungura kweli amebobea kwa dili za kijanja.

King Kaka aka Kaka Sungura ni msanii rapper mkali kutokea Kenya ambaye pia ni mwanzilishi wa Kaka Empire.

Mkali huyo wa ‘Mistarillionaire’ ameonekana kwenye picha kwenye bonge la dili ambayo ametia saini na kampuni ya Pace Africa. Dili hio inahusu usambazaji wa taulo za kike ‘Sanitary Towels’ kwa watoto wa kike mashuleni.

Tazama hapa chini alkchoandika King Kaka kupitia Instagram yake;

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply