Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Leo siku ya Alhamisi ni siku ambayo hufaamika kama Tbt (Throw Back Thursday). Kwenye chakura zangu mitandaoni nimekutana na picha ya Diamond ya utotoni.

Picha hio ambayo imepostiwa na msanii mahiri wa kike wa bongo Tanzania, inaashiria mengi ya kujivunia.

Ray C ameweka kwenye Instagram yake picha hio ya Diamond Platnumz aka Simba wakati akiwa mtoto kabla ya mafanikio yake maishani aliyonayo kimuziki kwa sasa.

Ameandika ujumbe mzito kuambatanisha na picha hio. Tazama;

Kisha amemalizia kwa kuwalaani waliotengeneza mitandao ya kijamii.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply