Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Msanii nduguye mkali wa bongo fleva Tanzania na ambaye pia amesainishwa chini ya lebo ya kaka yake ameachia hit mpya.

Abdu Kiba nikaka yake mdogo super star Ali Kiba aka King Kiba ambaye kwa pamoja wamefanikiwa kuachia collabo mbili kama vile ‘Kidela na Singel’. Ndugu hao wa toka ni toke wameanzisha record lebo yao kali ‘Kings Music’ ambayo inasimamiwa na Ali Kiba.

Abdu Kiba kwa sasa ameachia kazi mpya kwa jina ‘Jeraha’ baada ya collabo yao ya ‘Single’.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply