Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Je unafahamu kwamba Industry ya muziki Kenya ni moja wapo wa industry zenye nguvu ya kuachia kazi za hakika kwa mashabiki licha ya changamoto zilizopo?

Hilo la siku nyingine, leo Mitego Sasa imemfikia mmojawapo wadau wakuu wa muziki Kenya ambaye ni CEO wa GrandPa Records, Refigah the Heviweit.

The Heviweit amezungumzia ajali aliyopata jukwaani akiwa Uganda kwenye tamasha la muziki wakati akiweka sawa mitambo na vifaa za burudani kama vile Speakers kwa ajili ya ya show ya msanii aliyechini ya lebo yake, Cindy Sanyu.

Refigah na Karim Hirji

Refigah amempongeza mkurungezi mkuu wa kampuni hio yenye Imperial Group of Hotels, Mr. Karim Hirji hio na hapa chini ni usemi wake;

“Todayd the privilege of meeting the International Hotel Industry Mogul, Managing Director of Imperial Group of Hotels; Mr. Karim Hirji at his Imperial Royale Hotel in Kampala. I paid him a visit just to say THANK YOU. Exactly 168 days back I had a terrible accident at his hotel, I fell from a 10feet podium while doing a sound check for Cindy Sanyu’s launch. Imperial Royals management together with Urban TV Team responded so fast, first aid was administered immediately. I was put on a wheelchair and an ambulance was on standby. I truly appreciate your effort and support. No words can express my gratitude. Thank you, thank you, thank you May GOD Bless you and Your entire team at Imperial Royale hotel.Refigah heviweit CEO GrandPa Records” amemaliza hivyo Refigah.

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply