Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kubwa tatizo kwenye tasnia ya muziki wa Afrika na hususan Kenya ni mazoea na mapuuza.

Unafahamu kuwa wapo wadau mbalimbali kwenye sekta ya muziki nchini wanaopendelewa huku wengineo wakipigwa chini?

Models

Haya basi inabidi ufahamu kuwa kati ya watu wanaopokea mgao mkubwa kwenye industry ya muziki Kenya ni kama; Event Organizers, Musicians, MC’s, DJs na kiwango chao cha malipo hakipungui elfu mia moja pesa za Kenya (Ksh. 100,000) huku wengine wadau wakipuuzwa kama Models, Event social media influncers na wengineo.

Budget for most Kenyan Events

Artists =over 100k each

DJs =over 100k each

Security =1000 Bob each

Models= Free food & alcohol, hangout with “celebs” n even sleep with them which is considered as a privilege!

Influencers = Event tickets

Social influencers

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply