Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Leo siku ya Jumamosi kikosi cha wanafunzi kutoka taasisi ya mawasiliano nchini (Kenya Institute of Mass Communication) wamewatembelea watoto yatima katika makao yao Nairobi.

Wanafunzi hao wakiwemo wanamitindo Models watakaoonyesha ulimwende wao jukwaani tarehe 22/3/2018 kwenye tamasha kubwa chuoni humo maarufu kama KIMC Cultural Week 2018, ameonyesha upendo kwa watoto hao.

Bidhaa mbalimbali kama vile Nguo, Vyakula na vinginevyo wametoa msaada kwa watoto hao ili kuwasaidia kimaisha.

Hizi hapa chini ni baadhi ya picha wakiwa kwenye hio Children’s Home.

Tazama pia na hii video fupi;

#MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

Leave a Reply